Wednesday, December 30, 2015

CHEKI PICHA ZA WASHANGILIAJI WA CHAMA LA UBUNGO HAPA



Hawa ni mashabiki wa timu ya Ubungo teminal wakishangilia wakati chama lao nikitoa dozi kwa Msewe Fc jana katika ndiki hiyo Ubungo waliichakaza msewe mabao 2-0 mabao yakifungwa Salum Adebayo na Kenah ambaye baadaye alipigwa ngumi jiwe mpaka akazimia.
Mtu wangu hii mbugi ilipigika kwenye uwanja wa Kimara Baruti usipime yaani.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.