Mwagito Blog:
Sunday, March 27, 2016
KIPAJI HIKI TUSIKIACHE KIPOTEE
Pichani mchezaji wa Mbuyuni Fc Ambokile Mwambinga akikosa penati ya mwisho na kuwapa ubingwa wa bonanza Changanyikeni Rangers, Katika bonanza hilo Golikipa wa Changanyikeni Rangers Emanuel Nyanga alionyesha uwezo mkubwa wa kupangua mikwaji ya penati kwani katika michezo yote waliyocheza walikuwa wakipita kwa matuta baada ya kushinda kufungana ndani ya dakika 30, Emanuel pia alionyesha uwezo mkubwa kwenye ligi daraja la pili taifa akiitumikia timu hiyo ambayo kwa jana iligawanyika na wachezaji wengine kuchezea Mbuyuni akiwemo Ambokile,Oscar, na Jukumu Kibanda.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.
CHEKI PICHA WAHUDUMU WA CASTLE WAKISAGANA HADHARANI
Hii ilitokea jana kwenye viwanja vya Reders club ambapo wahudumu wa Castle Lager waliokuwa wakihudumia wakati tamasha Bonanza la kuwasaka wa...
SOMA KATUNI 9 ZA KILASI WIKI HII
MASTER J AKIELEZEA KUVUNJIKA KWA NDOA YAKE NA PENZI LA SHA: VIDEO HII HAPA.
No comments:
Post a Comment