Mwagito Blog:
Sunday, March 27, 2016
MDEE ATOA ZAWADI YA MBUZI KITAANI
Akiwa mgeni rasmi kwenye bonanza la pasaka lililofanyika pande za Changanyikeni kwenye uwanja wa chuo cha Takwimu Mbunge wa Kawe Halima Mdee alitoa zawadi ya mbuzi wawili kwa washindi wa Bonanza hilo ambao ni Changanyikeni Rangers na Mbuyuni Fc. Pichani akibonga na wapiga kura wake hao baada ya kukabidhi zawadi.
1 comment:
MATUKIO NA MAISHA
March 28, 2016 at 7:08 AM
huyo mbuzi yukwapi
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.
CHEKI PICHA WAHUDUMU WA CASTLE WAKISAGANA HADHARANI
Hii ilitokea jana kwenye viwanja vya Reders club ambapo wahudumu wa Castle Lager waliokuwa wakihudumia wakati tamasha Bonanza la kuwasaka wa...
SOMA KATUNI 9 ZA KILASI WIKI HII
MASTER J AKIELEZEA KUVUNJIKA KWA NDOA YAKE NA PENZI LA SHA: VIDEO HII HAPA.
huyo mbuzi yukwapi
ReplyDelete