Mwagito Blog:
Sunday, March 27, 2016
MCHEKI MCHIZI AKIBWIA UGORO KWEUPEE.
Mchizi anaitwa Slim Baro lakini kitaani wana wanamwita Sharo ni mkazi wa Changanyikeni hii ilikuwa ni juzi kati kitaani ambapo mwana alidai anagonga kitu cha ugoro ili apate nguvu ya kubeba mbuzi ambaye chama lake la Changanyikeni Rangers lilimchukua baada ya kuibuka washindi kwenye fainali ya bonanza la pasaka ambapo waliibanjua timu ngumu ya Mbuyuni Fc. Bonanza hilo lilifanyika katika viwanja vya chuo cha Takwimu
.
2 comments:
Unknown
March 27, 2016 at 12:15 PM
Hahahaahhaahaahaah safi saaaaaaaaana
Reply
Delete
Replies
Reply
Unknown
March 28, 2016 at 10:25 AM
Mwangito mpuuzi sana
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.
SOMA KATUNI 9 ZA KILASI WIKI HII
SISTER P YUKO WAPI, SOMA HAPA
Anakuja ,anakuja….Sister P…..anakuja anakujaa Sister P,anakuja anakuja Sister P anakuja kwenye fani ngangariiiiiii, anakuja Sister P...
CHEKI PICHA WAHUDUMU WA CASTLE WAKISAGANA HADHARANI
Hii ilitokea jana kwenye viwanja vya Reders club ambapo wahudumu wa Castle Lager waliokuwa wakihudumia wakati tamasha Bonanza la kuwasaka wa...
Hahahaahhaahaahaah safi saaaaaaaaana
ReplyDeleteMwangito mpuuzi sana
ReplyDelete