Thursday, May 12, 2016

BARABARA KITUO,SOKO MAWASILIANO BADO NI JIPU.

Ikinyesha mvua ni tabu lakini isipo nyesha ni tabu zaidi ndivyo ilivyo barabara ya kuelekea ndani ya kituo na soko la Mawasiliano kilichopo Sinza maalum.Barabara hiyo imekuwa na vumbi kupindukia wakati huu lakini kipindi cha mvua inakuwa na tope kiasi cha kuwapa tabu wafanyabiashara ndogo ndogo na watembea kwa miguu wanaoingia sokoni na kituoni wakiwemo abiria na wateja.
Mwagito Blog tumekumbusha tu Serikali ni wajibu wenu kulichukua hili.



No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.