Kama si hivyo basi wana habari mwaka huu tutakufa njaa na hasa wale wa magazeti, hii tabia ya watu kusomea magazeti mezani au kumlipa muuzaji ili wapitie magazeti kadhaa na kisha kuyarudisha imekuwa ikizidi siku hadi siku na kusababisha mauzo ya magazeti kuwa chini nadhani ni wakati sasa wa wamiliki wa vyombo hivi kutafuta njia mbadara ili waweze kulidhibiti swala hili.
Mimi nimewakilisha tu, ni jukumu lao kulifanyia kazi au kuliacha.
No comments:
Post a Comment