Watu watano wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine 20 kujeruhiwa vibaya na askari wa mali asili na Jeshi la Kujenga Taifa katika operesheni maalum ya kuondoa mifugo katika Hifadhi ya Mlima Meru umbali wa kilomita 50 kutoka jijij la Arusha. Chanzo DW.
No comments:
Post a Comment