Sunday, July 13, 2014

Fellaini anyoa ‘afro’ lake


MANCHESTER, England
KIUNGO wa Manchester United, Marouane Fellaini, amenyoa nywele zake kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu England, kuanza mwezi ujao.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26, aliweka picha kwenye mtandao wake wa Facebook.
Huenda mchezaji huyo, akawa ameamua kufanya hivyo, baada ya kushindwa kufanya vizuri katika klabu yake ya Man United msimu uliopita na kikosi chake cha timu ya Taifa cha Ubelgiji.

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.