Sunday, July 13, 2014

Suarez atokelezea na uzi wa Barca


BARCELONA, Hispania
ILE siri kubwa kwenye soka sasa imewekwa wazi, baada ya mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez, kutokelezea akiwa amevaa uzi wa Barcelona, kuthibitisha kuwa mambo yamekamilika.
Suarez alikuwa mchezaji namba moja anayewaniwa na Barca kwa majira haya ya kiangazi, hivyo baada ya kuuzwa Alexis Sanchez kwenda Arsenal, walikusanya kiwango cha fedha kilichotakiwa kumnasa mshambuliaji wa Liverpool.


No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.