Monday, January 12, 2015

Ni Cristiano Ronaldo Tena




Mshambuliaji wa Real Madrid na Portugal, Cristiano Ronaldo amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa duania "Ballon d'Or" kwa mara ya pili mfululizo huku akiwa shinda wapinzani wake Lionel Messi wa Barcelona ya hispania na golikipa Manuel Neuerwa Bayern munichya ujerumani

Mwaka huu FIFA wameamua kuweka wazi matokeo ya kura zilivyopigwa kwa asilimia, Cristiano Ronaldo alipata kura asilimia 37.66, Lionel Messi alipata kura asilimia 15.76 na Manuel Neuer 15.72.

washindi wengine katika tuzo hizi ni kama ifuatavyo;

Nadine Kessler - Mchezaji bora wa Kike

Joachim Low - Kocha bora wa timu ya mpira kwa wanaume

Ralf Kellermann - kocha bora kwa timu ya mpira kwa wanawake

James Rodriguez  - Goli bora la mwaka

No comments:

Post a Comment

KATUNI ZA MWAGITO HIZI HAPA MWANANGU.