Inapigwa
huku inapigwa hapa ikipigwa kule jamaa anaoanao utasema mguuni alikuwa na
smaku, vipi, au tumfungie kwenye karatasi aondoke nao maana hamna hamna basi ni
lazima awalambe chenga hata mbili hivi halafu ndiyo apige ile kampa kampa tena,
unawajua unawasikia? MZEE WA KB. WIKI HII ALITIA MAGUU WAPI? USIKOSE GAZETI LAKO LA BINGWA KESHO ALHAMISI
No comments:
Post a Comment