Akina mama wakiendelea kutoa huduma ya Chai kwa wateja wao, akina mama hawa ambao wameamua kuwa wajasiliamali wanatengeneza bagia mihogo,maandazi na chapati kwa ajili ya kuwauzia wakazi wa Sinza Madukani na maeneo ya karibu na kutokana na huduma zao nzuri wateja wamekuwa wakipanga foleni kusubiri huduma hiyo.
Sasa wewe dada unayejifanya unajikwatua ili uwatege wanaume wakati wenzako wanapiga hela kwa jasho lao endelea na ujinga wako.
No comments:
Post a Comment